Binti Thamani - Dar es Salaam

Organized By Don Bosco Net - Tanzania

Location: Dar es Salaam, Tanzania, King Solomoni opp. Best Bite

Dar es Salaam, Tanzania, King Solomoni opp. Best Bite (-6.809460, 39.274016)

Details

'Binti Thamani’ Kampeni ya kuwahamasisha wasichana kupenda na kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi siku hii itaambatana na burudani kutoka kwa Barnaba Boy...Wasichana wote wa kuanzia kidato cha tatu mpaka cha sita karibuni tukamate fursa Wasichana tunafahamu uwezo wetu na tunaweza kila kitu. Twende sasa... #DonBoscoNetTz #Binti_Thamani